Kila aliye na pumzi na afurahi,
Coz yule ambaye ni mwenye enzi amekam,
Yule mwenye aliturn maji kuwa wine amekam kuturn your sorrows into joy yule,
Mwenye alistopisha blood flow in a woman amekam kustopisha flow ya machozi yako yule,
Mwenye alipromise Samaritan woman maji ya uzima amekam kukumalizia yote yanayokuuma yule,
Mwenye alifeed five thousand amekam kukufeed na word yule,
.
Mwenye alisema “acheni watoto wote wakam kwangu” amekam kuambia adui zako “leave him alone” yule,
Mwenye aliponya viwete amekam kukugeuza a walking testimony yule,
Mwenye aliponya vipofu amekam kusee you through yule,
Mwenye aliponya viziwi amekam kukuskiza wanapokuzibia maskio yule,
Mwenye aliponya leprosy amekam kukucleanse of your inequities yule,
.
Mwenye alimultiply fish for fishermen amekam kukumultiplaia blessings zako men, yule,
Mwenye alicomissioniwa na God kuja kukupa salvation amekuja kukucomission upreach good news to all nations yule,
Mwenye alitetea mwanamke msherati amekam kushow mercy to sinners yule,
Mwenye aliambia leper “your sins are forgiven” amekam kusamehe dhambi yule,
.
Mwenye alilala kwa boat amekam kukusho take your time and take it easy yule,
Mwenye alitembea juu ya maji na kuascend hewani amekam kukusho all things are possible through Him yule,
Mwenye alicure sikio la soldier amekam kukufunza kuishi bila kisasi yule,
Mwenye aliraise Lazarus amekam kukusho you have a life to live yule,
Mwenye alichapa watu hekaluni amekam kukufunza respect yule,
Mwenye aliita Herode “you fox” amekam kukusho time yako bado na iyo time ikifika, pia we utafika,
.
Yule mwenye aliwaambia “woe unto you” amekam kuwarn the heartless yule,
Mwenye alisema “happy are those who” amekam kukupatia encouragement yule,
.
Amekam kuanzisha na bado ye ndo tu anaeza kumaliza, Alpha na Omega, yule,
Ye ni God amekam kuwa with us Immanuel yule,
Amekam na divine provision Jireh yule,
Amekam na divine healing Rapha yule,
Amekam kutupigania na tushinde Nissi yule,
Amekam na He’ll always be here Shammah yule,
Amekam,
Yule yule mwenye ni King already amezaliwa,
Na amekam na salvation,
Amekam na divine protection,
Amekam na divine provision,
Amekam na divine promise.
.
Happy birthday Christ.
#
#FreeVerse254
©
@s.a.n.d.e.r_o.c.h.y
Wow I like it. I would love to do this like a spoken word. If granted permission
LikeLiked by 1 person
Thanks thanks so much.. Merry Christmas and feel free to spread the good news.
LikeLike