Najua, life imekuwa hard side yako,
Najua wengi wamehepa njia zako but,
Nataka ujipe moyo.
.
Jipe moyo ata ka unachoma mahindi Ngara, na umeparara,
Jipe moyo ata ka walikutenga Kitengela,
Na hata ka walilack mercy,
Na kukunyima job Huruma,
Usiwahi pigana ngeta ata ka unaishi Lang’ata,
Ju ukiwa na God bado utakula, ata ukihamia Na_manga. Na hata wakikuincite aje na unaishi Pangani,usiwahi inulia jirani panga.
.
Amka ngware ,
Fungua biashara ata ka ni Kawangware,
Na ata ka unaishi Thika na wamekuchoka, juwa bado utafika.
Wanadhani yo mad ati ufikishwe Mathare,
Waambie dhambi zao zitawafikisha hell! Na nataka ujue all people are the same, kila mtu ni m-sweet ata ka si kila mtu anaishi Watamu.
.
Wamekuwa impatient na ndo maana wanavuta,__weed,
Wewe daily endelea kuomba God subira yako ivute,__heri.
Walikuitisha punch_kwa_line ya registration,
Waambie ata wakue madictator aje, hakuna amewahi fikia Pharaoh!
.
Ukahangaika, mara East mara West,
Ju home sai kumekuwa waste,
Wakakunyima space_ in everything,
Waambie with time utafika space.
Na kuna time utawapa loan wakikuona wanaBranch, juu ahadi yao hawatakuwa wameTimiza!
.
Some days back kusota kwako kulimfanya chic_ ago,
But soon atakutafuta akiskia ulienda Chicago,
Juu ulidhani umepata space kwa heart__yake,
But instead akakuhurt,
Juu kila mwamba ngoma, amesahau after ngozi kuna nyama.
Na we ni dem na anataka makubwa kutoka kwako, mwambie usichana wako ni siri na si vako,
Chochote wanakufanyia sai kinasuck, hawawezi jisacrifice juu yako ka Isaac.
.
Wanatamani sana ukue fallen,
Hauwezi, waambie we ni alien,
Walifake evidence ukawa guilty na kufungwa jela,
Waambie Christ alikufungulia minyororo ya shetani,
Wakitaka pia wakupe life imprisonment,
Waambie life yenye Christ amekupea ni everlasting,
Ama pia wakupee death sentence,
Waambie Christ alishakufia msalabani.
.
Na hata wakutoroke waende safari za mbalimbali,
Wacha yako ikupeleke heaven kupitia Calvary.
#
#FreeVerse254
©
@s.a.n.d.e.r_o.c.h.y
#photo:google
nmeokoka walai
LikeLiked by 1 person
Amen Amen,😊😊 church’s good
LikeLike