#Nampenda

Happy Valentines to this girl mwenye alifall in love na mimi
mwenye alinipenda ata bila za mimi
Of course ye ni malaika na si ati juu amevaa all white
Ni juu ye ni mhumble
Na for that reason leo nazima stima nawasha candle
Ye ndo account yangu ya Twitter naweza mhandle
Ananifanya artist nimchore, juu ana figure
Design wakijaribu kuingilia kati nawapinga
Nampenda kwa sababu ananipenda pia
Juu alinipenda from ile time sikuwa naweza kulala poa, juu kwa mfuko nilikuwanga always na mbao
Alinipenda ile time nilikuwa naiva kindorm akaniconvince nilikuwa nachomaaa
Theories zake ziuwanga funny, juu ziukuja with a big bang
Ni mrembo, kama tu my mama
Ona vile anafanya nastammer
Sai nafeel kumbuyia gift
Juu venye amejibeba utadhani amejipea lift
Nikiwa na yeye mi hujiona utadhani nina telescope
Mi hujiskia utadhani nina earphones
Na yeye hunislash nikimfyeka proper ndo maana anaringa
Vile tu amejipa pia, my all time mi hukaa ndani kama rumande
Ndo nikijaribu kutoka huniangalia na zile macho za upande
Mtoto rangi maji ya kunde
Utadhani mi ni exam vile territory anamark
Nampenda kushinda ata pesa utadhani naishi central
Wanaojaribu kumgusa hugeuka police case, central
Ju mi huwapiga mangumi then wanatoka teke
Halafu najifanya siwajui nawaPita, utadhani mi ndo nilikana Yesu
Kama ni luck niko lucky siwezi lack
Design wanashtuka utadhani ni waislamu, Allaaaah!
Na si uongo
Kuna time mapenzi yetu hukuwa ni ka haba
Na hii huhappen juu ya mabeshte wake wale ma-ka-haba
Wao ndo humdanganya of course ni maLiar
Vile maboy wao anawakunywa ye ni Mekatilii anawaMeza
Then wanamuita wakaskize bumaye
Na mi nakataa ju mi ndo mwenye boma eeeeh
Ju ka ni mangoma mi ndo humuimbia back to back nambeba kwa mgongo
All in all soul yake nishaiheal
Haina ata scar, si huskiza mkadinali
At times mi hulighten up her mind, kimiujiza
But still huwanga na dark thoughts ka giza
Juu ni at this point ndo vitu hufanya chumbani haina haja ya kuuliza
Vile nambuyia Wine niite Bobi
Nguo zake zikichafuka pia nageuka dobi
Sai sheria ya mke mmoja dini imepitisha
Ye ndo main na hakuna sides mbogi ishapitisha
Design sa nataka kumpatia ball akuwe ndo inspiration
Nitake over kila mwezi kuflow
Sai penye tumefika wallahi siwezi mcheza
Design kama angekuwa hongo ningempitisha chini ya meza
Halafu nikufe na guilt, ka poet anaperform piece ya wenyewe
Mimi na yeye
Tumeamua kubind all this kwa kukubali kuwa wa Jesus
Kama Millie na Kabi.

Author: sander_ochy

I am a journalist, a poet, a spoken word artist, a writer, and performer. Life is all I write about. #Freeverse254

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: