#Strong

Nikizaliwa senator aliwanga Obama
Ka huniamini uliza my mama
Ile time macoolkid wanakula choma
Aliniconvince mushroom ni nyama
Ile time wanachoose between flavors
Aliniconvince maziwa lala ni yorghut
Na kila time nikimuomba favors
Aliwanga always with a giving heart
Strong

So sai siendi kwa mama pima
Promise kwa mama nitakuwa navunja
Nikae ni kama nampima
Na sembe amesonga nimekuwa nikikunja
Kummake proud nitambuyia beamer
Na end of month namwahi za chama
Strong

Walikuwa wakikula mkate, blueband na jam
Nilitaka sana kuwaona kando
Ili kumaliza ile yangu ham’
Aliniwahi ugali na avocado
Nilitaka kumuuliza mbona udosi wetu hujakam
But nilijuwa angejibu time yetu bado
Na testimony yangu nafaham’
Angenipea hope nitaitolea ndani ya Prado
Strong

Sikufit kwa hiyo stage
I guess ni juu iliwanga ndogo
Nilidai waniongezee wage
La sivyo ningewageuzia mgongo
Wanipende ka ngoma za Sage
Ama pia ka zile lingala za Congo
Strong

Wananishinda wao ni one mi ni two
Nilipata success kwa dream tu
Niaje sai imedelay kucome true
Najifunza kuweka trust kwa yule aliye juu
Kwa nini sai mi huenjoy nyama na chapo?
Ni juu kwa ajili yangu Christ alikula kichapo
Strong

Sai wanapewa mabawa na ndorm
Mi napewa na Christ na hiyo ndo form
Ona kipawa nimepewa kwa song
Nawapea word wanakuwa strong
Rende ni ya Christ haijawahi kuwa wrong
Strong.
*OCHY*

Author: sander_ochy

I am a journalist, a poet, a spoken word artist, a writer, and performer. Life is all I write about. #Freeverse254

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: