#DakikaSufuri

Nina dakika sufuri ya kuandika haya
Dakika sufuri ya kusimama kwa stage na kushare good news kwa a thousand people
Nina dakika sufuri ya kuinstill belief kwa mtu fulani ambaye si yeyote yule
Ni mtu ambaye ashapoteza njia na anahitaji kuipata tena Nahitaji kumuonyesha alivyokuwa great nimsaidie kufocus Nataka kumuonyesha jinsi ya kuamka kila asubuhi akiwa na passion ya life.

Nina dakika sufuri, ya kucreate life.
Nataka kucreate life yenye traits exactly ka zangu.
Nina dakika sufuri, ya kufanya kitu moja nzuri yenye itaovershaddow maovu
Chenye kitawafanya wabelieve ati pia nice things can happen for no reason

Nina dakika sufuri ya kupelekea mgonjwa wa cancer maua pale hospitalini
mgonjwa ambaye sijawahi patana na yeye, nispend time na yeye
Ikuwe kitu ndogo nzuri yenye itachange pattern yake ya life.

Nina dakika sufuri ya kuandikia yule mentor wangu barua
Of course chenye alinipatia ni so valuable na hakuwahi expect back na kama si yeye pengine singeachieve chenye nimeachieve
Nina dakika sufuri ya kumshukuru.

Nina dakika sufuri ya pia mimi kumentor mtu
nataka kushare experience yangu na yule ambaye eventually atanioutgrow
Nataka kuwa giant, naye kufikia peak ya mlima atumie mabega yangu kama ngazi

Nina dakika sufuri, ya kumtafuta mpenzi ambaye nahisi kiukweli amejificha
Ye ni treasure
namhunt
Halafu nisisahau ile phrase ya “happily there after”

Hii dakika sufuri, ndo bado ninayo ya kumeet hero wangu
Nimekuwa nikimwona tu kwa TV
But sai nataka kumpa handshake tuongee mambo so deep.

Nina dakika sufuri ya kuandika kitu ambayo itashape future ya mtu na ambayo itainspire. Na before hii dakika sufuri iishe, nataka kuwa nimeacha legacy.

Author: sander_ochy

I am a journalist, a poet, a spoken word artist, a writer, and performer. Life is all I write about. #Freeverse254

2 thoughts on “#DakikaSufuri”

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: