#Woman

Hey woman,
Usiwahi sema woe unto man,
The fact that you are a woman,
Haimaanishi you are less human.
Ulikuwapo toka enzi za Adamu na Awa,
Acha kila mtu ajuwe you are a woman in power.
Ata time wanakukataa Kwa hood,
Wakumbushe you are part of this manhood.
Chochote unasuggest mwanzo wake unakuwa ndo mwisho? Kumbuka we ni prophet na uko home, isikuwe kinaya.
Ati Juu we ni woman, walipora mali yako na wanaochunguza uhalifu huo wakapewa KiNoti,
Usijali, kazi iliyo mbele yako ikunjie mkono wa shati.
Mtoto umleavyo?
Ulimwengu umejaribu kukulea vibaya hivyo,
Ila umechoose kubaki ulivyo.
Umestand on your own,
Though not alone,
Dreams zako kuzifanyia kazi bado hujapostpone,
We ni woman, usiogope kusoma, ati juu utasomewa,
Zii, soma ju fikra zao mbovu ushazisoma.
Woman, ni mara mob umeumia though izo times ulikuwa bado mchanga so machozi yako yalipokufanya wet, ulibonga matope.
Yes, ulikuwa mchanga, wakakuudhi ukashika moto, changamoto.
But sai realize umegrow, time machozi yako yanakufanya wet, ka simiti zidi kuwa mgumu.
Na usijali sana na kesho yako, tomorrow will cry for itself sai tenda wema,
Si Biblia yenyewe iliyoandikwa na mkono wa Mungu ilishasema?
Chunga gumba wako asijue anachofanya chanda.
Kukamilika kwa success story yako iko near,
For now fanya kazi yoyote ata ka ni kuwa engineer,
Nunua gari daima ukae mbele kushinda maforeman.
Woman, wanajaribu kuget through you na mapenzi yao hayako based on relationship stands,
Ni ma-one-night-stands.
Waambie usichana wako ni siri,
Na kwamba kumwogopa Mungu kwako si siri.
Enda chuo fanya survey,
Kisha kam round two uwafanye survey..
Woman, at times watasema we ni mcrazy,
Juwa we ni mrembo na usitoshee box ya mtu mlazy,
Ata waseme mavazi unavaa ni duni,
Usiwaskize acha wajue unafuata tamaduni.
Maneno yao ni machafu, haaah, waepuke sana ju mate yao ni sumu na wanayatema kila mahali,
We ni mkunga acha wazidi kukutukana, watapata mimba tuuu.
Sai shika jembe,
Enda shambani kuza ata ka ni maembe,
Wahakikishie kuwa mti mkavu hauchimbwi dawa.na kwamba hii life struggle ni survival for the fittest, so swara anapoliwa na simba, huwa ni kwa uvivu wake.
Ukifanya mistake kwa life juwa madhara ni kwako, so rekebisha. Ju utakayoyapanda mwenyewe, hakuna mwenye ako na mbolea ya kuyastawisha.
kwa kikao cha udaku usikae kitako,
Usifanyie mzazi chenye huwezi taka afanyiwe mamako,
Usiloose pregnancy intentionally,
Usiwahi umiza mtu either mentally ama physically.

Author: sander_ochy

I am a journalist, a poet, a spoken word artist, a writer, and performer. Life is all I write about. #Freeverse254

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: