#Mpenzi

Mpenzi,
Napenda vile macho zako ziukaa,
Juu ukiniangalia, mi huona haya,
Ukiniangalia tena mi hushindwa kuona wengine na instead,
Mi hufeel kuona into your soul,
Na ukiwaangalia wao, mi huona wivuu,
Ila ukiniangalia kwa mara nyingine,
Mi huona love light yetu ikiwa lit.
Napenda vile we hublink in a pattern tena in slow motion,.. Then vile macho yako huwanga bright mi huona a bright future.

Mpenzi,
Amini usiamini napenda masikio yako,
Juu words zangu ukiskiza,
Mi huskia throat yangu ikitetema,
Nayapenda juu ukiwa far, mi huskiza the deep silence in your absence then naboekaa.

Mpenzi,
Napenda lips zako juu time unanikiss,
Mi hufeel taste yako,
Napenda ulimi wako juu unapoimba,
Mi hutaste tune ya heart yako,
Na time yenye ulimi wako unagusana na wangu, mi hukusalivatia.

Mpenzi,
Mi hupenda meno yako juu nikiyaona mi hukumbuka vile kabla nikupate nilikuwa nakula shida,
But sai vile niko na wewe,
Nawaumia tu vako na kuwakulia njaro,
Meno yako hayo mi sharp but hata wajaribu kukupata, haijawahi niuma,
Juu najua ndimu,
Ndo we huwaumia.

Mpenzi,
Mi hupenda mapua yako juu kila time nikikuona mi hukumbuka vile mi husmell scent yako from far, na ata kuwe na baridi aje, nikiwa na wewe siwezi patwa na running nose.

Mpenzi,
Napenda nywele yako juu yanapobloiwa na upepo mi hufeel ka kipepeo kupepea,
Nywele yako ni natural na so nikiigusa mi hufeel taste of nature. Sa iyo ndo mi hufeel kufly high to the sky.

Mpenzi, napenda vile mikono yako ni tender,
Ukinigusa nikiwa mgonjwa,
Kukufa mi huhold on.
Napenda vile miguu yako hukaa,
Juu ukinikaribia, mi hufeel kustep into success,
Na mikono yangu ikishindanga around your waist,
Time yangu sijawahi feel kuiwaste.

Halafu mpenzi,
Napenda vile we huingia jikoni na umeiva, chakula hakijawahi kosa kuiva,
Halafu ata ka hujui bado kuswim,
Nataka ujue yo always swimming in my thoughts,
Na ata ka mi si Kemboi,
Juu yako mi hurun mad,
Na smile yako mpenzi, ndo huwanga tiba ya moyo wangu.

#

#FreeVerse254

@s.a.n.d.e.r_o.c.h.y

photo:Google

Author: sander_ochy

I am a journalist, a poet, a spoken word artist, a writer, and performer. Life is all I write about. #Freeverse254

2 thoughts on “#Mpenzi”

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: