#NinaGod

Nina God sai sina ubaya,mi na ye nabuy gari si car hire, kiOCto nastay so fly niko higher, wakiniangalia chenye wanaona tu ni haya, sai nawashwa na success, blessings niko on fire, my soul can’t wear out, hii si tyre.

Wametry sana,kuniangusha bana,but mi ni mstrong amenishikilia maulana, mi na ye kiguu na njia,si hutembeleana, mi na ye shilingi mbili juu ya kiti,si hukaana.Nina God nina dreams na sijalala, nina God nina goals na mi si footballer, nina God so soon atanipa madollar, si ni ye amelinda Kenya from Ebola, niko jua Kali but soon nitashinda wale mabola, wale wa white collar.

Sai nina God mi hukesha kanisani, venye nabonga in tongues wanahitaji mkalimani,la sivyo waelekeze macho milimani, ju life yao imejaa kiu itabidi wameikata na Christ ndiye dasani, na hivyo tu ndo watafika uzimani.

Wanadai bongo zao ni za wasafi, kumbe sote ni wachafu ju tuna roots kutoka kwa grandpa, kwenye sote tuliumbwa na matope, so we all the same si hata rider wa nduthi na karao wa traffic wote huvaa reflector jackets?. Ignorance yao imewafanya wasahau uti wa mgongo wa jamii ni mwanamke.

Wanahate na hawajui yangu fate, wamesahau God ndo my soul_mate. Wanasema kuokoka ni utiaji,? Nitachomaje picha na siko photoshoot.?

Juu ya kupanda kwa bei ya pet_rol, tushajua kwa life yetu wanacheza petty_roles,

Wakafuel hasira zetu na ile scandal ya di-esel,yenye ilifaa iwapeleke in de_cell, but ju ya vile wako na power over us,imebidi tumebaki tukikerwa kwa scene. Walipandisha bei ya mafuta, na sai machozi yetu hawawezi futa. Sisters zetu wanawadanganya na apple, ati wao ndo the apple, of their eyes ,then wakishapata ile apple,hawatakuwepo.

But sai mi Nina God am all the way up, face yangu inashine nina God ndiye ameni_make_up. Amenicook nimeiva ooooh niliwanga nimeget in the kitchen, chenye nakula sai tu ni chicken.

Nina God ye ni mtrue, mapenzi yangu na ye yako juu, ju ye ndo baby boo,

Nina God love yake ni thick na nafurahi, nafurahi ju sai sihami Kenya ka kina Victoria na Kimani, nafurahi ju sai siko katikati,ya walafi,watiaji,wenye mikakati, ya kuangusha nchi. wamezoea kula mizoga ju wao ni mafisi,nafurahi juu wao wakiwa na weed wanachoma, mi Niko kwenye gospel nazidi kuiva. Nafurahi ju wao wakiwa base wanachana, mi na gospel nazidi kuchanuka. Nafurahi ju sai mi ni indomie, nimeanza sai tu na already nishaiva.Nafurahi juu sai nina freedom from ndorms. Freedom from gava yenye inatupatia free corn_dorms, dorms zenye zingine tunazichoma shuleni.

Nina God mi ni maji ya mtoni na ye ndo hufanya naflow, na ju ye ni God ye huwanga juu si kwa floor,

Angekuwa mlima ningesema his peak is high, but ju ye ni God, He’s still the most high.

Nina God bila ye nitabaki kwa giza, giza yenye hadi devil mwenyewe hutishika.

Sai nina God naona mwangaza,mwangaza wenye devil mwenyewe haezi fika.

Na ile word yenye nilivow kwa God, nitaitimiza kwa thanksgiving.

#

#FreeVerse254

©

@s.a.n.d.e.r_o.c.h.y

Author: sander_ochy

I am a journalist, a poet, a spoken word artist, a writer, and performer. Life is all I write about. #Freeverse254

4 thoughts on “#NinaGod”

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: