Aliwanga Innocent

Najua,unaskia sauti ya mtoto ikilia hewani, sauti ya yule mtoto uliua inakusumbua akilini,

Naona unajaribu kuwa eased, sauti yake sai inakuchangamkia kama feast, mtoto analilia breasts,zenye hakupata nafasi ya kusuck, Analia ju sai anafeel kupatwa na bad luck, account yake ndani ya dunia ulishaihack,

Analia ju you stole his birth,hakupata chance ya kufuata ile path,ya kubath,na maji chafu yenye matope, coz you poisoned the beginning of his breadth, you put him to death,

Na aliwanga innocent.

Sai analia the whole night till dawn, na echoes za sauti yake inakufanyanga withdrawn ,

Analia akisema,

“Mum,mummy,mummy why,? Kwa nini yaani,

Mbona uliacha niende,yani mummy ukaniua kama mende,na nilitaka kufeel mapenzi, huzuni na hate, nilitaka kupata jina,maisha na fate,nilitaka nipate marafiki wa kuita mates, Nilitaka nisurvive na nilitaka kujua maana ya kuwa alive, but sai mi ni angel nikiwait,niskie decision ya God on your fate.

Mummy,mummy, yaani mummy,

Najua ungeweza kuniraize vizuri lakini still, haungeweza kunipa mapenzi real,,ulikuwa na dreams but haikuwa yako will,kuniinclude kwa life yako yenye thrill,

God alinituma kwako kama gift from above,ndo maisha yangu yawe fulfilled with love, but haukuwacha ata ifikie half,..””

Okay,mtoto Analia, mtoto analia na anakukumbusha of that abortion,

Hiyo abortion yenye haikukufanya umsahau ,inakufanya ukumbuke kuna mtoto ulimpata but haukumget,unaregret? Unaregret kumurder mtoto ukiwa umejawa na hate,uliiba soul yake then ukaifanya your darkest secret,

Na aliwanga innocent,

Analia,Analia na sauti yake inakukumbusha yule daktari, mwalimu ambaye haukungoja ata azaliwe,

Inakukumbusha yule msanii,poet,rais,rubani ambaye haukungoja ata apumue,

Haukuwa fair,you never let her feel your love in the air,

Na sai najua unamuona even though she’s not there, ju ulimnyanganya uhai hata kabla yeyote ajue she was there,

Aliwanga ndani yako but iliwanga only for a while, na sai ni kwa ndoto tu ndo ye huembrace your smile,

Aliwanga innocent,

But despite everything, chukua stand, najua sai for the first time unafeel kama mwanamke responsible,mwenye alimake a painful decision, for your all right reasons,

Nataka ufeel brave,strong,empowered, you did this yourself, to yourself, for yourself,

Not for your ex,not for anyone else,

Ilikuwa mwili wako,future yako,decision yako. Na yes,you ought to be a mother,

Choose life,stop abortion!

©s.a.n.d.e.r_ochy

#FreeVerse254

Author: sander_ochy

I am a journalist, a poet, a spoken word artist, a writer, and performer. Life is all I write about. #Freeverse254

6 thoughts on “Aliwanga Innocent”

  1. Great article man 🙌. It’s true! Abortion doesn’t make you a girl again, it only makes you a mother to a dead child. It’s a crime and should be strongly condemned!

    Liked by 2 people

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: