#StoryYaStephy

Stephie,aliachwa na mamake akiwa four. Nyanyake aliwanga drunk na tanker than most na hakuwahi muona babake , so ye ndo angejipeleka kindergarten asubuhi na jioni kujirejesha nyumbani Mamolester wakamchukulia advantage, wakamsavage na kumfanya cabbage Ubikira wakauvunja bila kutumia fikira na kwa akili fukara Mamentors wake wakawa wale madem supuu,wenye huwanga na nywele ndefu na dresses tight na supuu ,wenye huwanga wamesimama huko kwa streets ungethani hawakujua kutumia seats, Hakuwa na idea walikuwa wakifanya nini,ila alijua ati wale madem waliwanga washinny,na ye kila tym alitakanga kukaa mshinny ila kitu funny ni ati,wale madem ndo baadae kwake walikuja wakakaa marole model. So after kutojua ati alikuwa akiloise hope aliamua kujoin wale marole model na pamoja wakijifanya kuwa mamodel wakiwa wamesimama cbd na mikono yenye haijui kufanya bidii, imejaa jewelleries attractive but fake, for attractions sake, Zile words zenye walikuwa wakitumia most kwa hizo dark corridors ni “nionyeshe 3k ndo tuongee” na “Kenya hakuna cha bure” Akaanza kuwa myouthful na mstreet smart.alikaa admirable na mwili wake wenye figure ya chupa ilimpa a sexy touch ,ila dress yake fupi,na flirty iliexpose her essentials, hazikuwa tena confidential. At first alikaa m_expensive design yenye a man would raid the bank to get her, coz all she needed to see was a wallet na juu wale maclients wake wengi waliwanga maMBA(married but available) bila wallet,ingebidi umebakia nyumbani na mkeo. So kila giza ikiingia ungempata amesimama apo k_street na nje ya simmers akitafuta doh za kumpa sima,ya kumpa nguvu za kusimama, Ungempata amesimama apo koinange street akisorora wanaopita ungethani alitaka kuwafeature kwa movies zake Kali lakini sidhani ka zingewahi fikia za lupita, alikaa m_ordinary except that alikuwa akitake soda water, So dress yake overflowing ilimpeana though, aliwanga ashazoea kuonekana ivo all through so, aliwanga hapa kumeet wanaume Kwa dancefloor ungempata na zile moves latest in town, akibrowse through her smartphone till dawn,akismoke weed, akitake selfies ,akigiggle,akisip,akiwiggle, aliwanga slayqueen kiukweli,magnet kwa wanaume na si siri,.

Then akaanza kumake cash the whole night akiwa mstrong, piper,alifanya kazi usiku na kulala mchana ka viper,yaani namaanisha the whole night aliwanga jicho ka sniper, aliwanga akitake target na kufocus on the paper.

So Stephie, alirejoice in her choice to do prostitution akidhani it was the only hope ya kucope with the situation, but sai ndo anarealize iliwanga only a platform ya kumeet mastranger,ambao kwa profession yake walikuja wakageuka mastingers, Speaking of profession, yake iliwanga one of a kind, na aliifanyanga bila kumind akidhani satisfaction ataifind,but ilikuja ikakaa ya mental abuse, violence na torture, Proffesion y hunger, manipulation, rape na horror, hakujua mbona aliifanya for so long ila,,chenye alikuwa akijua ni ati the society ilimfanya afeel,comfortable,

So all the time under her profession aliwanga always na ideas like chenye atafanya,penye ataenda ungedhani ye ni google,but sai anafeel kurun out of bright ideas ungethani ye ni bubu, coz sai anafeel like the whole world is against her, na apo ndo akainua kichwa akaambia God,sai kila mtu hanijali,je ww,utanisaidia? Na so akaanza kujua she was not born to do what she was doing. So even after her heart was slain,and after going through all the pain and with no gain,hangeweza tambua mwenye aliwanga responsible na kutengenezwa kwa mtoi wake coz sai aliwanga pregnant. So akagive birth to ule mtoi mdem,na akataka sana kumuita Nancy, but Nancy inamaanisha favour na grace na ye alifeel kukosa favour from God na mabeshte,mabeshte wenye hata sai hakuwanga nao,so apo akafeel neglected, akafeel rejected, akafeel like she had already been persecuted,akablame kila msee,akajiblame,akablame God na mamake pia kwa kukosa kumuabort. Alitaka kumuita ule mtoi Christine but Christine inamaanish friendly na cheerful, ye aliwanga m_friendly na kila mtu but si kila mtu aliwanga cheerful na yy na wale wenye walijifanya kuwa cheerful, baadae walimwacha akiwa painful. Na apo ndo akathink of Pamela na ndio Pamela ikawa coz Pamela inamaanisha smiling all day and in all circumstances,. Alimwita Pamela coz ye alitaka kusmile in all struggles zenye aliwanga akipitia,. Alimwita Pamela coz Pamela is always trustworthy na ile tym yenye alifeel kukosa trust in all men na kusteriotype all men are the same, angebakia amemtrust Pamela. So after this birth alijipata ako na negative, attitude towards everything coz sai aliwanga positive,, na HIV, n hapo ndo anakumbuka kitambo aliwanga like I wanna chase the paper like Gates the rapper but sai ndo uyu anakaa ni ka amekula pepper.. Anakumbuka kitambo aliwanga na bright eyes but sai ndo uyu anakaa ni ka amekula onions coz machozi yake sai yanaflow ka maji ndani ya river omo, the only option, yenye aliwanga amebaki nayo ni ya kujitia kitanzi but Pamela akampa hope ya kucope with the hills and slopes,, So sai Stephie husema Genesis 28 coz sai dream yake ni big ka ile ya Jacob na ile ya lupita inafanyanga yake inakaa still valid Ye husema Genesis 18 coz sai anafeel kupata favor in the eyes of God Ye husema Isaiah 60 coz sai anafeel kuarise, kushine coz anafeel light yake ishamkamia sai anafeel kushoutia kila msee with joy coz Luke 8 inamkumbushanga lamp yake ashailit,na hakuwa na reason ya kuiweka under the bed…

©s.a.n.d.e.r_ochy

#FreeVerse

Author: sander_ochy

I am a journalist, a poet, a spoken word artist, a writer, and performer. Life is all I write about. #Freeverse254

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: