#MyDearLove

IMG_20180121_151309_576.jpg

My dear love,

Ilikuwa so easy for me to fall in love with you

But sai imekuwa so hard for me to stop loving you

Nataka kushare na wewe thoughts zangu na feelings coz nishakupenda na sidhani ka ntakutenda

Nataka kushare na wewe chenye hunifurahisha na chenye hunifanya nafeel blue

Coz nataka usense that mapenzi yangu kwako ni honey na true

Nshakukwamia kama glue, coz you are more than a friend.

So sai vile I first touched you roho yangu ilifly high ,nikafeel ka natembea in the sky,wakasema it’s built upon a lie,

But

Wao ndo waliwanga wakijidanganya,coz vile ulikam kwa life yangu unexpectedly, ulichukua roho yangu surprisingly,and wholly,you stole it.

So sai vile ningefikiria for one moment ati hii itakuwa my last breadth,

Ningekusho nakupenda forever,even beyond death,

Vile ningefikiria ati uso wako ungekuwa the last to see,ningetake a million pictures kisha ningesave the just for me

Yaani kama sauti yako ingekuwa ya mwisho kuiskia,ningekuskiza all days all years kisha ningepromise never to shed a tear

Kama vile touch yako ingekuwa ya mwisho kuifeel,ningekupatia the longest hug ever kisha ningejua it has been real,

So kama hii ingekuwa my last heart beat, ningemshukuru maulana kwa kutufanya tumeet,.

So my dear love,

Natamani ungekuwa meno yangu wallahi singewahi fungua mdomo ndo mafisi wasikuone na badae nkutumie kutafunia food na bila shaka ningewanyima,

Design yenye ka ungekuwa kitabu ,mi ningekuwa kalamu ndo forever nkuandikie poetry za love na sensation,

Vile ungekuwa hewa,mi ningekubreath in na singewahi kubreath out,

design yenye ungekuwa unga,mahindi ya kukutengeneza ningeendea within three days kutoka Mexico kisha nigeuke mluhya,ndo nisiwahi choka na wewe..

So ka ningekuwa daktari,ningekutreat like a queen kisha ningekupatia overdose ya mapenzi yangu

Ningekukeep fit,strong and healthy, ningekurelieve of all your pains na si na madawa,na mapenzi ,ningekuwa driver ningekudrive crazy,vile we ungekuwa sossun mi ningewa kenrazy,..

Yani vile watu wengine wangeniignore,wajifanye hawanijui,kwao nikae nameless,mi ningewaWahu kisha badae ningewasho shameless,

So my dear love,

Naomba ulock macho zako na Mimi, coz nataka kuona into your soul,coz ziufanyanga sura yako inakaa mzuri mama, design ya sauti Sol,

Naomba unichezee ngoma moja coz nataka kujua tune ya heart yako

Naomba upress your lips against mine coz nataka kujua taste yako

Coz mi hupenda vile lips zako ziuwanga wet with wine and red with a wild desire

Mi hupenda vile macho zako ziukaa time yenye lovelight yetu inawanga lit with a passionate fire

Mi hupenda vile we ni mkali kama nyuki lakini badae unanipatia asali

Mi hupenda vile we huniita msoto sitoboki but badae nakupatia Mali

So naomba ukae uchi na Mimi chumbani ,coz nataka kujua your insecurities, kisha badae unifundishe kuepukana na Malaya_bilities

..so my dear love

Naomba unikiss with your warm wet mouth kisha useme with your soft voice kwamba your body and soul are all mine, kisha ntakupromise to work all day to keep you alive,kisha tuishi our whole life in the joys of our living love

So my dear love,

Marry me

Coz you are all mine…

©s.a.n.d.e.r_ochy

#FreeVerse254

DEDICATION:

The above piece is a dedication to the one and only girl, who is the love of my life. Her name is Mary Njambi. I love her.

Author: sander_ochy

I am a journalist, a poet, a spoken word artist, a writer, and performer. Life is all I write about. #Freeverse254

2 thoughts on “#MyDearLove”

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: